Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Karibu sana ila angalia nisije nikakuchanganya ukatoka njia kuu?!!. Na usirudi tena.

aliyekwambia nanii mie ni wa njia kuu nanii?ebu punguza puresha haibiii!ila mie ndo naiba ndo maana nkakuuliza mkeo yuko macho? afu siyo utanichanganya! hapa tutachanganyana! sawa eh!ok nipe uhakika wa usalama wangu maana naogopa kumwagiwa tindikali heheee:love:
 
Mwenzangu mchumba wangu Honey Faith amekuja, sasa sijui itakuwa na nampenda kweli sitaki kumuudhi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom