Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Unajua nilikuwa namsifia na nini mbea wewe
Kwakifupi anajua kuwakatibisha wageni nilimwambia nakunywa tayler na nikaikuta sa kwann nisimsifie ametoa huduma nzuri
 
Last edited by a moderator:
Nilikunywa wine nyingi but niko salama

Okay pole sana, tafuta energy drink hapo uchangamke. Shemeji yangu anakupenda sana hafanyi kitu chochote, kwanza amefurahi kusaidiwa. Mimi mwenyewe sitaki hii ndoa ivunjike kabisa, nawapenda sana.
 
shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol!
charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!
 
Last edited by a moderator:
shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol!
charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!
heeee jaman excel umeamka na mimi eh? kwani mie nimefanyajee mpaka nivunjweee!?
 
mimi nimeamka na wewe!? kweli? aisee futa hii kauli!! nimeamka na wewe? kivipi?
i mean umeamka na maneno na mieee! ebu rudi kwanza kwa mkeo ukamwachie ela ya matumizi eh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…