Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nilikunywa wine nyingi but niko salama

Okay pole sana, tafuta energy drink hapo uchangamke. Shemeji yangu anakupenda sana hafanyi kitu chochote, kwanza amefurahi kusaidiwa. Mimi mwenyewe sitaki hii ndoa ivunjike kabisa, nawapenda sana.
 
shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol!
charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!
 
Last edited by a moderator:
shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol!
charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!
heeee jaman excel umeamka na mimi eh? kwani mie nimefanyajee mpaka nivunjweee!?
 
mimi nimeamka na wewe!? kweli? aisee futa hii kauli!! nimeamka na wewe? kivipi?
i mean umeamka na maneno na mieee! ebu rudi kwanza kwa mkeo ukamwachie ela ya matumizi eh!
 
Back
Top Bottom