shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Morning my shemeji? Missing you so so!
Morning to uu ila leo nakaa mbali na wewe kuna watu hapa hawanitakii mema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morning my shemeji? Missing you so so!
ukame? ukame? weeh hakunaga hiyo kitu to be single ni tamu aisee!!unajiamulia tu,, no stress za njia kuuu
Yupo asee nabanana na kiwatengu
Mba.....!!
Mmmh! Baadae uje home unipe ujanja unaotumia basi.
Morning to uu ila leo nakaa mbali na wewe kuna watu hapa hawanitakii mema
mhhh utanilipa au?si unajua no free lunch huh?
msalimie sana huyo mzee.. naona siku hizi amekuwa mzembe sana kiasi cha kukuliza bana!
sio vizuri!
Pole sama shem wangu wa nguvu! Unaenishauri nioe wengine wananiangalia tu! Isitoshe wana ndoa zao wanakunyooshe kidole kimoja wakati vitatu vinawanyoshea wao! Umeamka salama lakini?.
Nitakulipa usihofu si unajua time is money! Kama unaukame ningukuambia wewe ni wakushushiwa godoro na kupakwa asari.
hahaaaa hujatulia weyee! haya ntakuja! ila jua unanilipa dollar siyo tsh:rolleyez::rolleyez::rolleyez:
Nikikupa laki au dollar 100 utachagua ipi?
dollar 100 maana ni laki na sitin na mbili inategemeana na rate huhuhuuuu
Kwa ajili yangu ama?
Yaani hata wewe? Nakuja nyumbani jioni.
Waja kufanyaje yakhee?
Muache aje, sime yangu sijaitumia muda mrefu.
Muache aje, sime yangu sijaitumia muda mrefu.