ha!ha!haa nihonge kwanza maana midume haitaki kutuhonga acha tuongane wenyewe jamani miss neddy
nataka chocs mtamu
jaribu bahati yako
kazipata sana, i'm happy for having her
Mkuu hata mimi unaniombea duwa mbaya?! Bado Honey Faith ni wangu! Habari zingine sielewi labda Aje yeye athibitishe hili!.
ni huyo jamaa kasema anakupenda eti