Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahaaaa,mbona wewe Kibo10 mwoga,tumekusubiri hata hujatokea!Chezea muke ya mutu wewe!Ujanja wako wa kizamani wa kukimbilia PM,kwa taarifa yako nina ufunguo wa kila sehemu

Mwoga nani hapo mimi au wewe unatembea na simu ya wife mfukoni ngoja aende kwenye semina tuone kama utaacha kwenda kazini uongozane naye jiamini kijana teh teh..
 
Last edited by a moderator:
Mwoga nani hapo mimi au wewe unatembea na simu ya wife mfukoni ngoja aende kwenye semina tuone kama utaacha kwenda kazini uongozane naye jiamini kijana teh teh..

Hahaaaa,wewe unaongelea semina!Hata bafuni tunaenda wote!Mkuu mi nimejiajili kwa hiyo semina zote za bibie huwa tunaongozana!
 
Salama mkuu,Duhhh mkuu Rich Pol kuna kijana nilimsubiri toka juzi nimfanye chakula ya dog hata hajatokea,vijana hawa siku hizi wana hirizi sijui!!
Hajambo bibie Honey Faith?

Du! Salama mkuu, vijana nao wanaogopa mtu akukaribishe kirahisi tu?!. Ukizingatia anataka kukudhuru! Ulitaka kumfanya nini mkuu? Nidokeze kidogo basi! Hajambo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ni mienendo ya michepuko.

kuna mtu anaitwa miss chagga, ni mwanamke ninayempenda sana.
tena nampenda kupita maelezo.
ukimwona naomba umwambie.
miss chagga njoo kwa huku tafadhari,kuna mtu kila akinywa maji anakuona kwenye glass!
Tembosa sema babayake huyo binti ni mkali,anaitwa utafiti!Ukitaka kupeleka barua niambie nikusindikize!Kama unataka kuharibu walaa husinishirikishe!
 
Last edited by a moderator:
huyu kwani hajaolewa?
Tembosa,kaolewa huyo,hata sasa bado tuko kitandani,,sema kuna vijana wanawatafutia watu wengine kesi za mauaji kwa nguvu sana!Sijui anataka kujiua?Sasa ameogopa kitanzi na sumu kaona bora afe kwa kifo kingine!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…