Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

dah,,huku cjawah kutembelea kabisa,,kumbe uku ndo wachumba wanapatikana,,em nambieni munapatanaje na sura hazionekani ss,,au ndo unaotea id tu,km imekaa ki ke ke unamwaga yaliomo,,na mi nipatieni nakala yangu bas
 
We jinsia gani ? Kama Ke njoo pm haraka kabla babu Asprin ajaja make huyo mzee busara kweli kweli kutwa tunaweweseka kila mwanamke hapa JF babu kakagua lol.
KM WE ME ENDELEA KUWINDA ILA NAKUSHAURI UENDE KULE JUKWAA LA UTAMBULISHO UONGEE VIZURI NA watu8 na Katavi wakupe mgeni yoyote uanze mambo. Aha aha just kidding .

Last edited by a moderator:

Ahah mi Me babu,,uyo watu8 na mwenzie hao wagen anawajua kwa sura au? Iv huku jf wa2 wanapata mademu kwel?
 
Last edited by a moderator:
Sie wengine tumezoea kula kwa macho! Manake chaguo langu haliendani na hali yangu, hebu tuambiane ukweli demu mzuri kama lara1 nitamuanzia wapi! Na nikimuanza nitammaliza au atanimaliza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom