Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

ila mkuu,mbona simuonagi kwenye majukwaa yetu pendwa....she seems brand new if not refurbished

kabla hajaanza kukuhitaji nilimuuliza..wewe ni wa kudumu au wa muda?
akanijibu kuwa yeye ni wakudumu!!
huyu bado mgeni hapa mkuu, take a time mpitishe pitishe maeneo...
 
huwa nachungulia mmu, education mara moja moja na hapa sometime!

kabla hajaanza kukuhitaji nilimuuliza..wewe ni wa kudumu au wa muda?
akanijibu kuwa yeye ni wakudumu!!
huyu bado mgeni hapa mkuu, take a time mpitishe pitishe maeneo...

sawa mkuu...ntamfanyia bebito Eshy m.s orientation ya nguvu...
asije niacha kwenye mataa akishalijua jiji.... maana kule MMU kuna mabazazi kama Asprin -kuni za motoni zile
 
sawa mkuu...ntamfanyia bebito Eshy m.s orientation ya nguvu...
asije niacha kwenye mataa akishalijua jiji.... maana kule MMU kuna mabazazi kama Asprin -kuni za motoni zile

usiogope, mtoto kashapagawa vya kutosha kwa ajili yako...
hao mazazi hawawezi kumtetemesha
 
Naona hii thred haituhusu sisi wenye ndoa za mitala, ambazo hazitufungi kwenye kulabua vimada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…