sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe,
Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!!
Leo kazi unayo shem wangu
Siasa zinaumiza kichwa kwa uongo wao ndo maana tunazichukia
Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe,
Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!!
Zimefika kabisa, hamu sina mbona miye.
Habari gani Excel sungura1980 uran Bantu lady nimeona nije huku kwenu kupumzisha ubongo baada ya kumsikiliza mzee yusuph kwa muda mrefu hapa bungeni akanichosha kwa mipasho yake!
Poleni na majukumu kwa ujumla wenu!
Ninayo si kidogo shem wangu Honey Faith!Msalimie mdogo wangu Rich Pol!Ebu mchumu shavuni mwambie namsalimia!
My hubby uko wapi? nataka kupasuka kwa hasira huku.
hahahahaha kapita njia ya pembeni
hahahahaha kapita njia ya pembeni
Eti Bantu lady wewe ukiambiwa upigwe 3 au 2 au 1ipi utafurahia?
Hapana bana my wii, my bro Excel mzima?
Tulikuwa wote akatoka ila alirudi baada ya kumtafuta, my hubby yuko hapa kalala tayari. Hana mchepuko kabisa.
Aaah, miss neddy, unaniua mtoto wa mwanamke mwenzio! LOVE U SO MUCH.
hahahahahahaha hakuna mwanaume asiechepuka
mfuga maradhi haponi we haya
Excel ndo namtafuta sijui kafichwa wapi
Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona.
Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo.
Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona.
Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo.
aiseeeeeeeee iko wapi hiyo pub nipe location
wai monke weito!!! wanyita!! lols!
hebu jaribu kuvaa hicho kiatu...
Unaona kaja haraka haraka my wii?
Sasa usimwachie tena, mchukue mkalale.