Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
nimeona but atakupaje zawadi bila kushauriana na mimi mke wake
Wifi ndio umeanza gubu jamani, mbona wasukuma hawana hizo. Basi siku nyingine akitaka kunipa zawadi nitamwambia akushirikishe.
Mkurya huyo ila haya my wii.