Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Goodmorning sweetheart.... my queen, my everything...
my angel, my pillow!.. I Love You so much my one and only!
please lets have breakfast this early morning my queen miss neddy..
come baby....!!!!
just me and you
then i am going to take you to work my dear..
kama naomba nitangaze nia kwako
Couples??
😀😀
Just asking
Duuh mnatishaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi upo jamani!
Nipo mamangu. Naimani uko mzima
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mie mzima kabisa sijui wewe?
Namshukuru Mungu all is well.
Just missing my baby
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaha hivi kumbe unanipendaga
For real
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona hujawahi kuniambia?
Ulinikana kabla ya game kati ya Mtibwa vs Yanga kuisha Jumamosi iliyopita.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lini hiyo?mbona mie sina hiyo kumbukumbu?
morning how are you darling
mhhhhhhhh ahsante kwa chai lakini vitafunio vingine vigeni vinini hapo sahani ya pili
nyanya baby....
huwa ni muhimu sana kwa chai..
hahahaha uran wewe sijawahi kunywa chai na nyanya zaidi ya kuungia nchuzi tu
kachumbariii hapo sawa miss u honey
Nobel prize winner? 🙄