nashkuru mkuu,,nlitaka nijue tu km wapo,nkihitaj ntakuchek mkuu
mi ninamtafuta mke wangu 'Valentina' popote pale alipo aje nimpe love dad languvu
mi mdogo unakuwa mzito sana ujue
Yaani huu upuuzi bado unaendelea?
Yaani huu upuuzi bado unaendelea?
hahah,, tatzo sura zao ndo hazionekan ss,,nyie munawajuaje
na mi naomba nimjue uyo Valentina wako mkuu
huuu.. 'Valentina' mke wangu.. kuna jamaa hapa anataka kukuona.
Mmh darln uyu jamaa mbona anankodolea macho sana!!
na mi naomba nimjue uyo Valentina wako mkuu
Hny kwa mashamsham unayonipa ni halal yangu kuongezeka nikonde ninashida gan mie?