Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
ushampata wako wa wewe? wangu huyu hapa chini
my sweety heart 'Valentina' how are you? miss u darling
I'm gud my hubby,yani kila nikuonapo napata furaha ya ghafla
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushampata wako wa wewe? wangu huyu hapa chini
my sweety heart 'Valentina' how are you? miss u darling
Mhhh shem miss neddy mbona aliniapia kuwa kwako kafika ametulia?!Au kuna kazi unashindwa kufanya?Itabidi uje kwa dada yako akufunde,maana mi ninavyokuwa nimechoka na mawazo yote yanavyokuwa kwake,hata mchepuko uweje siwezi kuuwaza!!Mawazo,akili na nguvu zote kila dakika ni kwa huyo laazizi wangu Bantu lady
Pole sana na hongera kwa uvumilivu.
Maana mimi naweza vumilia tabia zingine ila siyo ubazazi, ningejiondokea siku nyingi.
Ulipokuwa unaingia huko my wii nilikuina una roho ngumu hahahaaa
lols!
![]()
hajaacha my wiii ye na michepuko dam dam namvumilia maana usukumani kuachika aibu mnooo wacha nife tai shingoni
ujambo?
sijambo mamii za kunitelekeza
sijakutelekeza mwanangu naumwa mamaako hajakwambia?
hajaniambia pole mom nini mbaya
kuna huyo jamaa hapo juu anataka kukufanyia mtongozo
Mentor my bro uko wapi. Hebu sogea pande hizi. Kuna mtu anataka kutuharibia furaha yetu ya jana ushindi wa Chelsea.
CC: Mwallu