Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 166
- 124
nia gani hiyo?
kuku engage ama wajanja wamekwisha wai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nia gani hiyo?
hahah ndo mana nakupenda my wiii mi nasoma tu kwa faida ya Excel sitavuka mipaka kabisaaaaa
kuku engage ama wajanja wamekwisha wai?
Hahahaaa sawa hakuna shida, sema tu msipitilize. Maana huyo ni mtaalamu wa mahaba unaweza msahau kaka yangu Excel.
Nasikia wivu ila najikaza kike ujue wii.
Mentor my bro uko wapi. Hebu sogea pande hizi. Kuna mtu anataka kutuharibia furaha yetu ya jana ushindi wa Chelsea.
CC: Mwallu
hahaha wiii bwana punguza presha au hutaki na mimi nidumishe ndoa maana nikihitimu Excel ataacha michepuko lol
pande zipi bantu lady?
Hivi kaka yangu hajaacha tu michepuko?
Ila hongera wifi naona km umejitahidi kumtuliza mpaka siamini.
Wivu must, mtu chake na alivyo msweetie my hubby presha lazima. Akiibwa ni mazima hutokubali kumwacha kabisa.
hajaacha my wiii ye na michepuko dam dam namvumilia maana usukumani kuachika aibu mnooo wacha nife tai shingoni
hajaacha my wiii ye na michepuko dam dam namvumilia maana usukumani kuachika aibu mnooo wacha nife tai shingoni
Mhhh shem miss neddy mbona aliniapia kuwa kwako kafika ametulia?!Au kuna kazi unashindwa kufanya?Itabidi uje kwa dada yako akufunde,maana mi ninavyokuwa nimechoka na mawazo yote yanavyokuwa kwake,hata mchepuko uweje siwezi kuuwaza!!Mawazo,akili na nguvu zote kila dakika ni kwa huyo laazizi wangu Bantu lady
mambo vipi valee
Mambo ni poa my dia
Umeniita my prince?
Nakupenda malkia wangu!!Mdogo wako miss neddy mpe basi maujuzi nahisi isije mkuu Excel kuna vitu labda anavikosa ndo maana anachepuka!!
lols!Nakupenda malkia wangu!!Mdogo wako miss neddy mpe basi maujuzi nahisi isije mkuu Excel kuna vitu labda anavikosa ndo maana anachepuka!!
Namshukuru Mungu tukiachana na yale ya katiba mpya,weekend imeenda vizuri sana,ushindi wa Yanga,ushindi wa Man utd,,Arsenal kufungwa goli 6,Mnyama(Simba) aka wazee wa viti kulishwa majani leo!Duhh full shangwe,,my wife Bantu lady leo nimerudi mapemaaa,ukitaka unitafune,ukitaka unimeze!!Nakupenda barafu wangu!Nadhani matokeo ya wazee wa viti yamekufurahisha leo!