Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mhhh shem miss neddy mbona aliniapia kuwa kwako kafika ametulia?!Au kuna kazi unashindwa kufanya?Itabidi uje kwa dada yako akufunde,maana mi ninavyokuwa nimechoka na mawazo yote yanavyokuwa kwake,hata mchepuko uweje siwezi kuuwaza!!Mawazo,akili na nguvu zote kila dakika ni kwa huyo laazizi wangu Bantu lady

nampa kila kitu shem lakini badoo may be unifundishe lugha ya ulimi labda atatuliaa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na hongera kwa uvumilivu.
Maana mimi naweza vumilia tabia zingine ila siyo ubazazi, ningejiondokea siku nyingi.
Ulipokuwa unaingia huko my wii nilikuina una roho ngumu hahahaaa

ahsante mwaego jaribu kumwambia ur kaka roho yangu ngumu ipo siku italainika
 
lols!

guns

hajaacha my wiii ye na michepuko dam dam namvumilia maana usukumani kuachika aibu mnooo wacha nife tai shingoni

Mkuu Excel umeona?Shem wangu miss neddy alikuwa analalamika eti hujaacha michepuko ndio nikawa namuomba wife wangu Bantu lady ajaribu kuongea naye pengine kuna vitu unanyimwa vinavokufanya uchepuke!!

Mi nilijua umeacha lakini?Kwani bado unaendelea nayo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu nilikuwa mawindoni nimerudi na bunduki yangu, nimekosa mnyama, kuna hata swara hapa nitoe nukxi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom