Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Yaani amu kumbe huku wamesha kutangazia ndo? Haki ya nani tena, naenda kunywa maji ya betri sasa hivi!
 
Last edited by a moderator:
I miss you my love Chocs
Nakupenda saaaaanaa....yan kupita maelezo!
Hope weekend nitakuja kukusalimu mke wangu kipenzi!
I real Miss you bby!
Kila nionapo picha yako kwenye simu yangu natamani kupaa ila majukumu kipenzi....!
Najua unanimiss sana ila naahidi kurudi nyumbani tuishi kwa raha zetu!
Mwaaaaaah
 
Yaani amu kumbe huku wamesha kutangazia ndo? Haki ya nani tena, naenda kunywa maji ya betri sasa hivi!

usinywe maji ya betri dear katiba ya ndoa ya cc inaruhusu tuwe na saccoss za wanaume
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…