Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

nishakupa mrejesho mkuu, ila ki ukweli sijakupata vizuri hizo namba ni za wadada wa jf? hapo sijaona ya shansarie wala Lady doctor hebu niambie vizuri mkuu

Siyo JF mkuu mbona zinajieleza, wafanyabiashara hao maarufu wa mjini! Wanafanya delivering mpaka home.
 
Last edited by a moderator:
Siyo JF mkuu mbona zinajieleza, wafanyabiashara hao maarufu wa mjini! Wanafanya delivering mpaka home.

daaah!! kumbe bana asante kwa ufafanuzi, kama wako ndiyo hivyo ni vyema.
ombi moja tupia na picha zao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…