sawa honey...nimekuelewa loves u soo much
Bantu lady amerudi njia kuu
Nitasemaaaaa!!!!!!Mimi siku zote niko njia kuu, sijawahi chepuka. Mume wangu Sungura1890 mimi ni train sina mchepuko. Daudi1 ananiharibia tu.
Nitasemaaaaa!!!!!!
Abee!!!.
niko hapa my love..how are you?
Haaahahahah unaogopaaaaa! basi sisemi,mimi na wewe tena tunajuana kwa vilembaNi pm unachotaka kusema kwanza. Maana wewe kwa kunisingizia hujambo.
sawa lakini, unakumbuka yale mambo?
kuna ishue hapa sijaielewa elewa..
hata mi mmeniacha sielewi
Baby naumwa ugonjwa wenyewe nakumis mpaka mishipa inasimama
hata mi mmeniacha sielewi
siwezi kuyakumbuka hata kidogo