Valentina shost wangu, usikasirike maisha yenyewe mafupi haya.
Uran atakuja tu na atakwambia kilichotokea.
Please naomba unywe maji ya baridi na utulie kabisa. Hili litapita tu ni upepo.
Valentina
hii ni hatari sana mpenzi wangu.
kuna mtu ananifanyia hujuma.
nani huyu?????
nakupenda 'Valentina' wangu. nakupenda sana, kila siku huwa nakuambia..
machoni hapa yananitoka nisomapo hayo maandishi juu ya ICHANA...
kuna mtu tu! anataka kuniharibia penzi letu hny.
usiwasikilize kabisa..
na huyo mtu aliyehuck akaunti yangu na kuanza kumtongoza mke wa Mokoyo kwa jina langu ashitakiwe mazima.
sijaingia kwenye huu uzi siku mingi sana whats nwe humu ndani
na ikiundwa lazima niwe mwenyekiti aisee
good more than good.....nimekuota leo
mkeo asipaone hapo
I can't blv my eyes
Shosti ninahasira mpaka narukaruka kama masai
Kipya huku ni kwamba nimesalitiwa mwenzangu
Najua pole sn best yangu.
Mumeo yuko hapa na jioni tukitoka maofisini tutakuwa na kikao hapa cha usuluhishi, hatoki mtu atiii.
Kipya huku ni kwamba nimesalitiwa mwenzangu
nani huyo nimfunge kufuri la chuma na funguo nikaitupie baharini
ulikuwa wapi hadi ukasalitiwa..hakuna kukubali
Najua pole sn best yangu.
Mumeo yuko hapa na jioni tukitoka maofisini tutakuwa na kikao hapa cha usuluhishi, hatoki mtu atiii.
ulikuwa wapi hadi ukasalitiwa..hakuna kukubali
Yani sitaki hata kumwona wala kumsikia tena. Nimelivua pendo nililopenda zamani
hahaaaa we ukifanya miujiza na mie lazima nifanye wii
hapo patamu hapo wii
mi nadhani nitafaa kwenye ulinzi maana naona mnagawana wenyewe tu hizo posho