Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Valentina shost wangu, usikasirike maisha yenyewe mafupi haya.
Uran atakuja tu na atakwambia kilichotokea.

Please naomba unywe maji ya baridi na utulie kabisa. Hili litapita tu ni upepo.
Valentina

Shosti ninahasira mpaka narukaruka kama masai
 
Last edited by a moderator:
hii ni hatari sana mpenzi wangu.
kuna mtu ananifanyia hujuma.
nani huyu?????

nakupenda 'Valentina' wangu. nakupenda sana, kila siku huwa nakuambia..
machoni hapa yananitoka nisomapo hayo maandishi juu ya ICHANA...
kuna mtu tu! anataka kuniharibia penzi letu hny.
usiwasikilize kabisa..
na huyo mtu aliyehuck akaunti yangu na kuanza kumtongoza mke wa Mokoyo kwa jina langu ashitakiwe mazima.

I can't blv my eyes
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu, karibu hapa kuna ajari kubwa sana, watu wako mahututi! Kuna mtu ame hack acc ya uran akamsomesha ICHANA mpaka akaelekea, tatizo mke akatokea jamaa aka log off na kutokomea, Sasa case imembana uran

hii kesi inazidi kuwa ngumu sana.
mke wangu hataki kuniamini. nimemshauri afuatilie kwa karibu,
mwandiko wa jana na huu wangu.
kwanza huyu hacker wa jana anaongea sana broken english compared na mimi.
itachukua mida kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Najua pole sn best yangu.
Mumeo yuko hapa na jioni tukitoka maofisini tutakuwa na kikao hapa cha usuluhishi, hatoki mtu atiii.

mkiirejesha amani katika ndoa yangu nitafurahi sana sana.
nampenda sana mke wangu. tena sana.

i los hay so mucho ny los 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom