Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mlinzi wa kike yupo, kuna house girl nyumbani atakuwa nae.
Kipya huku ni kwamba nimesalitiwa mwenzangu
yeah utafaa ngoja tukushonee Sare kama za mgambo na kirungu jiandae kutoa remba kichwani ukapigwe para shogaa
Naskia ulikua bize kusaka ile ndege,vip mmeipata?
bado namtafuta aisee. sijampata kabisa, ila atapatikana tu.
Mke wangu hataki kunielewa.
eventos i los her so mucho
Mshonee sale tu, kirungu atakikuta nyumbani ninacho.
hongera sana jamani...... Umesalitiwa lini na nani? Daah hadi raha mwambie akusaliti tena upate thawabu jamani looh rahaa...... Utamuu..... Aaaah...!
hahaha mke mwenza..... Niko bize kusaka hela na sio ndege lol.. Malaysia nitaenda ndege ikishapatikana
umeonaee....... Ngoja niunde tume chapchap kabla jogoo hajawika mara3
yeah utafaa ngoja tukushonee Sare kama za mgambo na kirungu jiandae kutoa remba kichwani ukapigwe para shogaa
Hahahaaa dahh nimeishiwa pozi gafla
Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,? ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa Arushaone hebu fanya mambo hapa.
Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.
Na Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume. Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.
Shem Bantu lady na mumeo sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.
Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
π‘π‘π‘π‘
ok hakikisha kirungu kiwe na urefu size ya mkono wake kuanzia begani hadi kiganjani na kiwe cheusi tii king'ae
Daah kweli nahitaji msaada wa kisaikoloj vinginevo naona dalili mbaya
Nikisomaga hii thread nachekaga mnooo.Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,? ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa Arushaone hebu fanya mambo hapa.
Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.
Na Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume. Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.
Shem Bantu lady na mumeo sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.
Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
π‘π‘π‘π‘
Nikisomaga hii thread nachekaga mnooo.