Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,? ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa Arushaone hebu fanya mambo hapa.

Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.

Na Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume. Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.

Shem Bantu lady na mumeo sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.

Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
😡😡😡😡

Kuna nini mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana nawe shem tume iundwe jambo hili lichunguzwe kwa jicho la3. Vinginevyo nita.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
shansarie nimeshapata ufafanuzi mahsusi, nawakubali sana sasa hivi

Rich Pol nimeshawakubali, ni couple iliyotulia, naipa heshima.

halafu wewe Rich Pol sielewi couple yako ni nani au bado unambwerambwera?

Sina ndugu yangu sijapata shemeji hata pacha wake tuunganishe undugu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom