Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hivi Munkari ana mtu humu maana nimemzimikia. kiwatengu naomba unijibu

Hana mtu kaka, afu unajua.kuchagua wewe.
Siku izi kahamia kijijini, so ukimleta town afu upae nae kule kwenu atafurahi sana sana..
Haya sasa Munkari sogea karibu, Mungu amejibu Maombi yako.
Upweke wa Bush kwisha kazi yake sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hana mtu kaka, afu unajua.kuchagua wewe.
Siku izi kahamia kijijini, so ukimleta town afu upae nae kule kwenu atafurahi sana sana..
Haya sasa Munkari sogea karibu, Mungu amejibu Maombi yako.
Upweke wa Bush kwisha kazi yake sasa.
aisee nina bonge la bahati basi ngoja nimsaundishe maana mtoto anaonekana wa ukweli sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…