Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahahahaha.nipo singo ndio ila naogopa kutolewa manundu na wenye waume zao ngoja 2niendelee kua hivihivi. Asante kwa ofa

Si ungemwambia tu hutaki kuolewa ila unataka support kipindi hiki cha mvua?
 
hello wanakamati inayoshughulikia swala langu na mke wangu..what is going on?
 
Nashukuru kwa kuitika wito kwa nidhamu ya hali ya juu kabisa

Hii inaonyesha sio tu unafaa kumilikiwa bali hata kuvishwa pete uwe mke wa mtu.

Nipo huru maana najuwa wewe upo single kwa hiyo sina hofu ya fumanizi

a rahabu! bahati yako hii
 
Jirani yangu kiwatengu habari yako vp na mkeo mlisalimika na mafuriko.na jana mlirudi huku tbt au mlilala kwenye nyumba yenu ya mbezi mana tbt kulikua hapafai
 
Last edited by a moderator:
Jirani yangu kiwatengu habari yako vp na mkeo mlisalimika na mafuriko.na jana mlirudi huku tbt au mlilala kwenye nyumba yenu ya mbezi mana tbt kulikua hapafai

Poleni sana, ila kwa sasa sisi tupo ziarani huku Kinshasa.
 
Last edited by a moderator:
Ebanaee watu humu ndani wana speed kama robot vile,wanakaba mpaka penat.... Wataka kunisaidia nn kiwatengu?! Msaada kwenye tuta au kona unaruhusiwa....teh teh

Niletee mrembo nikusaidie..
🙄
 
Back
Top Bottom