Hata wewe Vale kinakuhusu sana. Namna ya kum please jamaa ako wakati unaenda kwa kuchepuka kwa yule jamaa wa mtaa wa tatu toka hapo nyunbani kwako....
😱😱😱:what:
afu wee fisherscom unashadadia! subir zamu yako ifikee!nyooo!Mambo yote yako humu...mfano namna ya kuaga wakati unaenda kuchepuka n.kView attachment 152000
mke wangu hachepuki ng'oo!!
Hata wewe Vale kinakuhusu sana. Namna ya kum please jamaa ako wakati unaenda kwa kuchepuka kwa yule jamaa wa mtaa wa tatu toka hapo nyunbani kwako....
mwee usinishawishi mchepuko mie
jaman na mim
Jaman moyo mpweke unanisumbua
Hapana Vale,ww ni njia kuu yake.....teh
Kila anaetaka kunipa msaada amepakiza abiria
Jaman moyo mpweke unanisumbua
i love her..
Hv humu kuna mtu aliyepata mchumba na mahusiano yao yakazaa ndoa?
wengi tu..[/QUO
mmmmh!!!