Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

hiiiiii njia haifai hadi muda huu hamna hata binti mmoja aliyepita
 
not yet sweety heart, umejisahamu ukatuma empty PM..i'm dying to hear u again my angel

Habari yako mkuu uran, thanks kwa midollar nimeipata naona karibia na nitaanza kukopesha watu
 
Last edited by a moderator:
He wewe na mume wangu inakuaje adi mtumiane midoli?

he samahani wifi kumbe alikuwa hajakuomba ruhusa? we uran ndo nini kutaka kunigombanisha na wifi yangu?
usijali wifi nilimuomba kwa ajili ya matumizi ya hapa nyumbani mana bi mkubwa alikuwa analalama amesahauliwa......!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…