Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

ndo style gan ya kutafta mchumba hiyo,ebu mtafte excel akufundshe kutia sound

Excel ndiyo mtongozaji mzuri? hivi umelipitia gazeti la udaku?
nasikia ulifumaniwa huko mbeya ukiwa na Rich Pol, kumbe wewe ni mke wa mtu?
 
Last edited by a moderator:
Excel ndiyo mtongozaji mzuri? hivi umelipitia gazeti la udaku?
nasikia ulifumaniwa huko mbeya ukiwa na Rich Pol, kumbe wewe ni mke wa mtu?
hahahah uran we ni mkuda jaman!hebu wacha mtoto wa kike nichepuke,mjin msingi kiuno babu weeh!
 
Last edited by a moderator:
ebu rich paul muulize!ah atuwache siye tule vya kwetu!..anatuonea wivu

Watuache na honeymooning yetu twende nje ya nchi kidogo!
Hujawaambia kama wewe ni mama kijacho changu?!.
 
Mkuu naomba niturie kidogo maana nimehangaika sana wewe mwenyewe shahidi mpaka kiuno kimekuwa kigumu.

kweli rich ila umepatia sana kwa huyu mtoto charty sasa inabidi muweke list pale juu..
 
Last edited by a moderator:
Watuache na honeymooning yetu twende nje ya nchi kidogo!
Hujawaambia kama wewe ni mama kijacho changu?!.

alijulie wapi swrpie!wasubirie saprz ya kijacho,maana hawakawii kutoa maneno mpaka npate miscariage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…