Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nakupenda wewe mwanaume mpaka naumwa. Raha unipazo miye ndio zinanifanya niwe na furaha muda wote.
Upendo wako, kujali kwako, upole na thamani unipayo hakuna awezaye fanya uyafanyayo, nitakupenda siku zote no matter what honey. Hope jana umeifurahia na kuipenda gift niliyokupa.
CC: sungura1980
 
Last edited by a moderator:

Asante sana laazizi wangu Bantu lady kwa gift niliipenda sana sweet wangu!Asante sana kwa pendo lako,kila saa kila dakika kila sekunde najivunia na nasikia fahari kuwa na wewe!!Sisimko langu la mwili Bantu lady,,mmmmwaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…