H aha ha ingekuwa poa sana tu nikawa nakosa mda wa kupost humu,ila siyo kukosa mda wa kufanya kazi za ajira yangu kiote nyausi hadhi ishuke,afu we ndukii
ama tujaribu,sema tutakuwa couple celeb humu,kama dangote na wema Heaven on Earth
dangote ndiyo nani?
Last edited by a moderator: