Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto)
hofu yangu asije tokea mhuni akatongoza mama mwama
Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto)
Unyimwe mara ngapi we kijana mbona huelewi? Yan we unakuja kwa mamkwe umevaa shati la mikono mifupi ebo...
Shikamo mama!
Kaa mbali na mimi kijana...mwanangu huchukui hata ukijipendekeza
Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo!
hope nimeanza kuwa na vigezo.
Imekula kwako hiyo swahiba....shati la mikono mirefu 'means' mkwanja banaa.....
Watanashati mbona wengi tuu na mashati yao?!
Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo!
hope nimeanza kuwa na vigezo.
Sema wewe maana nahis kichwa hakijamkaa vizuri huyu...
Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2!
Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2!
naona mtu na mkwe wanajadili mambo! Good.
We mtoto kila muda unataka kufuatana na mimi....si utamuua mkwe wangu kwa njaa wewe...
Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2!
mama nakupenda wasije wakakuteka tubaki pekeetu kama ambavyo baba katuacha lazima nikulinde bmkubwa.
naona umemlainisha bmkubwa safi sana siri yako lakini asije akanisikia haya maneno.
Nashukuru my daughter....ninyi ndo mboni za macho yangu