Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sa skia unamfaham yule paroko Eiyer? Nataka nikutume uko parokiani

duh nimecheka pekeangu...namwona tu akiwa anahutubia haa kanisani kumbe hawahutubii, akihubiri lakini hapana namwona akiwa anaongoza misa! Enhee nikafanyaje huko?
 
Last edited by a moderator:
Jamani, kwani wanawake nao wanatongoza? Mbona cjawai-xperience hii kitu? Anyway, bidada anaeweza naomba anitongoze, nataka kujifunza kitu!
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaaa nimeipenda hiyo shem endelea hivohivo utawin tu.

Yaani acha tu na hivi nishapata amri kutoka kwa kizaa chema, anataka gari jipyaaaaaa! eti lile nililomnunulia amelichoka, sasa kwa mchakamchaka huu nitakuwa na muda na mchepuko kweli?
 
Yaani acha tu na hivi nishapata amri kutoka kwa kizaa chema, anataka gari jipyaaaaaa! eti lile nililomnunulia amelichoka, sasa kwa mchakamchaka huu nitakuwa na muda na mchepuko kweli?

Wacha we kumbe mam kakukeep busy safi sana, mtimizie si unajua mke anagharamiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…