Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
hapa utakuwa unataka nini kwa Nyani Ngabu?
Heheee acha umbea wewe khaa!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa utakuwa unataka nini kwa Nyani Ngabu?
Sa skia unamfaham yule paroko Eiyer? Nataka nikutume uko parokiani
Heheee acha umbea wewe khaa!
duh nimecheka pekeangu...namwona tu akiwa anahutubia haa kanisani kumbe hawahutubii, akihubiri lakini hapana namwona akiwa anaongoza misa! Enhee nikafanyaje huko?
shem mambo?
duh..na unahangaika
safi shemej yangu, umeamua kuwa mtawa pia?
ndo hivo shem namsubiria mama watoto amalize shule naogopa kuchepuka. kwa sasa nimeamua kuwa hermit
duh nimecheka pekeangu...namwona tu akiwa anahutubia haa kanisani kumbe hawahutubii, akihubiri lakini hapana namwona akiwa anaongoza misa! Enhee nikafanyaje huko?[/QU
Kamwambie Eiyer moyo wangu unadunda juu yake lol
We bibi weeeeee mtumishi wa mungu yule naogopaaa tena Mme wangu asione hapa wanitafutia matatizo. Au mtume kiwatengu ndo mtalaam wa haya mambo shost.
Usijali mupenzi wangeeeee
Wewe ni kiboko yangu ....lol!
Huu mchèpuko umempata mchepukaji......
hahaaaaaaa nimeipenda hiyo shem endelea hivohivo utawin tu.
Nani anachepuka?
Yaani acha tu na hivi nishapata amri kutoka kwa kizaa chema, anataka gari jipyaaaaaa! eti lile nililomnunulia amelichoka, sasa kwa mchakamchaka huu nitakuwa na muda na mchepuko kweli?