Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mi jamani nampenda huyu dada anaitwa Heaven on Earth,sijui kwa nini kila nikipita ninapoona jina lake tu nahisi kuna kitu cha tofauti ndani ya moyo wangu.Natamani siku nikutane naye live.
Nakupenda sana mine!

ngoja atakuja hapa Heaven on Earth umweleze kwa undani zaidi..
hongera sana kwa kumpenda..
 
Last edited by a moderator:
hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....?
 
yes you can, tangaza tuthaminishe.
ujue hata paroko Eiyer aliiba mke wa mtu.

nataka nifanye hivyo lakini naona kuna ugpmvi tayari,sasa naona nikae kimya kwanza...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…