kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #5,781
Mi jamani nampenda huyu dada anaitwa Heaven on Earth,sijui kwa nini kila nikipita ninapoona jina lake tu nahisi kuna kitu cha tofauti ndani ya moyo wangu.Natamani siku nikutane naye live.
Nakupenda sana mine!
ngoja atakuja hapa Heaven on Earth umweleze kwa undani zaidi..
hongera sana kwa kumpenda..
Last edited by a moderator: