Nangojea ya mtu fulan ikumbwe na kimbunga huyo mdd nammendea cku nyingi tu
janeth hii tabia ulijifunzia wapi?
umemwona jamaa hapo juu?
Nimemwona aisee anataka kunichepusha. miss neddy akiniona ndoa inaota mbawa walah
Marhabaaa daughter....mkwe wangu hajambo?
good reply..
yakumwita mtu kijana babu?
sijambo mkwe waendeleaje...?