Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nimemwona aisee anataka kunichepusha. miss neddy akiniona ndoa inaota mbawa walah
wa zamaaaaaani??????,?wake zangu wa zamani nimewamiss sana aisee!
Passion Lady... Angelicious na bi mdogo kabisa miss neddy!
hebu njooni mniambie mnaendeleaje?
love you all!
Dah!
hili ua sijui nimuitie nani?
mpe yeyote umpendaye
siku hizi kuna unakopenda eeh, hongera sana.
hope ushafika kwako mida hiii na unacheck hii game ya brazili
sijambo mkwe waendeleaje...?
hahahaha kiwatengu bhana sina kwingine ila nashangaa naitwa x siku hizi lol
Unadakia vitu hata havikuhusu.
Msamehe mke wangu
braza nakusalimu sana...
Mtoto halali na hela sijui kajitoa kwenye hili?