Najua hata mchepuko wetu utauheshimu
hapa ndipo ninapopapinga 100% ila ngoja nimwache aende zake tu.
nini tena hutaki nimsalimie mama...?
Sasa ulitaka nikae kimya mtu na kaka yake washee kitanda?
kiwatengu mkorofi.....braza nakusalimu sana...
Mtoto halali na hela sijui kajitoa kwenye hili?
Kaka yetu kazi anayo
umeona eeeh yetu macho
Kaka yetu kazi anayo
umeona eeeh yetu macho
Tumwachie mwenyewe tu
Dada zangu vp? Mbona mnasikitika?
Wifi yenu Ni mrembo Kweli Kweli Na Nina mtunza sn kiasi kwamba hao wapiga deki wanaangaika!
Lkn kwangu hatoki Na hachepuki!
Khantwe luv u my swty so much!
Dada zangu vp? Mbona mnasikitika?
Wifi yenu Ni mrembo Kweli Kweli Na Nina mtunza sn kiasi kwamba hao wapiga deki wanaangaika!
Lkn kwangu hatoki Na hachepuki!
Khantwe luv u my swty so much!
Tumwachie mwenyewe tu
Cc: miss neddy.........unaona?