Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Jamani wifi zangu nimefanya nini mimi?
relax my wii tunakupenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wifi zangu nimefanya nini mimi?
Waambie sweetheart....luv u too. Yan hawa hawataki hata nitongozwe lol
hahahaha ndo mana nilikupa copy wewe badala yake lol
Nambie dada Yangu!
Kz ya kumchunga wifi yako unaiweza Kweli!
Yani nimefurahi sn! Niambie zawadi gani unataka?
hahaha golden chance hii ngoja nichekeche ubongo lol
Chekecha vizuri ila jua lazima hiyo zawadi ipitishwe na mama mwenye nyumba
aaarrrg basi nitagairi ujue
Waambie sweetheart....luv u too. Yan hawa hawataki hata nitongozwe lol
Shkamoo dadiii.....
Marhaba....! Hujambo mtoto mzuri?
Umemuona mama yako alivyo Na furaha?