Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nikimbie niende wapi, nlikua nawaangalia Tu jinsi mnavyo peana matumaini yasiyokuwepo, ilhali Mimi Nina shares zangu huko, anyway kama VP muulize mkeo vizuri Jana mchana baada ya kutoka church alikua wapi, maana alikudanganya anaenda jumuia kumbe ndo tumechepuka, wewe jipe matumaini Tu kama bushoke, kwenye ule wimbo WA mume -----, we haya
 

haya yalimlenga nani?
sijaona kama umemquote mtu...
 

hii quote ilikuwa iende kwa nani?
 
Sitaki hata Kumtaja, ILA Ni huyo anayeuita mchepuko wangu switi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…