Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 568
Nikimbie niende wapi, nlikua nawaangalia Tu jinsi mnavyo peana matumaini yasiyokuwepo, ilhali Mimi Nina shares zangu huko, anyway kama VP muulize mkeo vizuri Jana mchana baada ya kutoka church alikua wapi, maana alikudanganya anaenda jumuia kumbe ndo tumechepuka, wewe jipe matumaini Tu kama bushoke, kwenye ule wimbo WA mume -----, we haya