Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Pole sana my little sista, Mungu azidi kuwafariji.
Amina...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana my little sista, Mungu azidi kuwafariji.
mungu awape nguvu, kwa hiyo usharudi arusha?
Amina shem.... Nimefika jana, nipo Arusha sasa tunafanya taratibu za mazishi
she want to give you love!!
tena ile imara zaidi, kuna maswali nimemuuliza akiyajibu atakuja kwako moja kwa moja
ila lazma at first atuambie kama yeye ni wa kudumu ama wa muda..
hatuzitaki couples za msimu mwaka huu.
Pia hii itatuondolea kutengeneza couple na watoto wa shule...
Amina shem.... Nimefika jana, nipo Arusha sasa tunafanya taratibu za mazishi
powaaaa.....ila sasa nahama mtaani kwenu..........Hahahaaaa....poulee
Don't wory honey,no one will take u'r place in my heart!
hahahahaha...ngoja pakuche kwanza...
kuna warembo wengine ni very hard to handle
Pole sana,
Ni mashujaa wetu,
Walituandalia maisha kwa kutumia jasho lao.
R.I.P. Mama Matemu
Pole sana asee
Ni kweli
Kuna masai mmoja anaitwa Phlagiey inaonekana anahitaji mama yeyoo
Ngoja nijaribu kuongea na waumini wangu nione kama nitampatia mmoja ....!!!!!!!
Dadadeki...... 'Valentina' hebu kuja hapa ....!!!!!!!!!!!We baba paloko nitapandisha mori utanibeba unitembeze majukwaa yote humu jf, haya ebu nitie mtoto mbichi hapa, na umwambie sifa yangu ya kwanza najua sana kusuka kwa hiyo saloon hatakuwa anakwenda kusuka, na dawa(kiloriti) za magonjwa nazijua hapa hosp hawatatuona.
Dadadeki...... 'Valentina' hebu kuja hapa ....!!!!!!!!!!!