Mom basi aje weekend nitamrudisha mwenyewe nammiss kweli mdogo wangu.
Weekend ndo anapata chance ya kukaa na daddy... Kma vipi njoo wewe maana nmekumis pia mwanangu
Weekend huwa natulia nyumbani na mkweo, lakini atasafiri hivo nitakuja na nitalala kabisa mom miss you too.....
Nakusubiria my dia daughter... Hata daddy atafurahi kukuona
mtajie ashushe verse mwenyewe...
Ngoja aje kwanza nimdirect some where......
Khantwe, ndoa kitu gani bwana watu wanataka kuvunja muungano wa watu milioni 40 sembuse ndoa ya watu wawili Tu?
Hahahah....umenichekesha sana.....kumbuka muungano huo mwingine watu walichanganya udongo lkn huu wetu tumechanganya miili yetu umekuwa mwili mmoja na kuugawanya hapo itagharimu uhai
Kweli Swty!
Either nife Mimi Au ufe wewe! Au tufe wote!
keshakuja, si unamwona hapo chini?
Mwenzangu hata kama ni motoni sioni maana raha ninazopata hadi sijielewi.
Daughter siku hizi umekuwa kuwadi wewe?
Daughter siku hizi umekuwa kuwadi wewe?