Sasa itabidi tupeane majukumu au wasemaje mama
Mi na Konnie hatuwezi kuchangia. MwikoHaya jishaurini ili niwachukueni wote inaonekana mawazo yenu yanafanana
We jisemeshe tuu eh...nimekupa uhuru unautumia vbaya eh
Yepi hayo tena?
Heeee hebu usamehe mchepuko wako ulikuwa on process of finding another mchepuko
Tutampataje huyo mwali maaana huu usingo boy umenishinda siku hzi baridi kinoma aiseee
Heeee hebu usamehe mchepuko wako ulikuwa on process of finding another mchepuko
We jisemeshe tuu eh...nimekupa uhuru unautumia vbaya eh
charty mmeachana?
Ebu kibo 10 unataka kufanya nn hapa???jiheshimu...ntawaamishia vikojoleo usoni...!don play with me,
wewe bibi huoni unavyofanya....?Kusudi gani babu wewee...
bhaasi, ikiwa unanielewa naamini muda si mrefu tutayamaliza....!Me nakuelewa kwani vipi?
Sikumbuki boss Wang....