Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa, kiwatengu upo? Nimerudi kwenye kiti changu cha enzi
wewe bibi huoni unavyofanya....?
bhaasi, ikiwa unanielewa naamini muda si mrefu tutayamaliza....!
Hebu jitahidi uitumie fursa hii adimu.
i love good endings!!!!
Umeona eeh? Ntamzuia kuingia jf mimi
kiwatengu acha uchokozi nakisemelea kwa boss...nipo ndugu yangu, karibu sana
ila tunahitaji update ya nguvu.
hasa kwenye kamati ya ukaguzi.
hawa kina Asprin na Filipo wamesahau nafasi zao kabisa.
watu kibao humu hawajakaguliwa.
anzia na huyu janeth1 unayemtaka
na wengine
ukaguzi ni muhimu.
mapendekezo yangu.
ndugu Tyta apewe mikoba ya ukaguzi.
na bwana mwekundu ye afanye ukaguzi wa kiintelijensia kugundua jinsia.
Hawa wakilipwa vizuri na hao wakaguzi wazamani wakiongezewa malipo watashirikiana vyema.
Ndugu Erickb52 atangaze sasa kuacha uasi.
Jukwaa likae sawa maisha yaende.
Utambulike mwenyekiti wa kudumu.
ahsante....!i love good endings!!!!
kwanini hivi....nataka tulimalize .....Sio kila kitu kina mwisho hamalizi mtu hapa.
nini sasa, ile ufanyavyo hivi u remind me something.... i love that!Sifanyi chochote mbona?
hujui...?Mtamaliza nini?