kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Ndio babu
sawa bibi...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio babu
Nimefurahi Sana kukuona khantwe, weekend yangu imeanza vizuri, kwani nimemchokoza nani my dearest khantwe?
Yupi huyo?? The last time I checked ulinambia upo singo, imekuaje tena? Halafu nimemchokozaje huyo nanihii, wakati kwenye post zangu nakutaja wewe Tu, my dearest! Soap of my heart!
Bahati yako my husband mstaarabu sanaaa....la sivyo ungeshachakaa zamani
Swty, Ebu nitajie jina tu la huyo mtu anaekusumbua nimfahamu ili nianze kudeal naye vilivyo!
zekidoni..
ku quote huwezi?
Kitengule jinsi ya kuquote najua Ni uamuzi Tu kutotumia hiyo application, nayo PIA imekukwaza
huyo kabanga kakufanya mini mpaka kila mtu amekua ndugu yake, ofukozi hi is a braza from anaza maza, Kuna tatizo
Hongera...
hongera kwa lipi hasa, hongera wanastahili kupewa kina mama wanapojifungua watoto
Kwani ww mwanaume?