Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

sina ndugu mwenye tabia za huyo jamaa....

eti sina ubavu, wewe piga teke bahati yako....

waweza kufafana na mtu tabia lakini akawa si nduguyo....

Pole wenzio wanafanana tabia nzuri wewe sasa.....bahati nishaipata kwa my sweet wangu we kawape wengine...
 
Mtoto wangu huyu babu hafai popote pale kukutana nae! Ata Huko pm hafaiiii!

Asa we ngosha, huyu janeth1 unataka umzalishe mwenyewe???

Mtoto kama huyu anahitaji huduma ya babu. Vijana watamchakachua.

Ataula wa chuya utajuta kumzaa. Shauri zako!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani mwanyasi kamuacha bro?
msije mkashikana mashati aisee!

Ujue huyo babu king'ang'anizi ka nini misifa tu mtaani me niko zangu na Mme wangu na hatuachani kwa raha zetu.
 
Asa we ngosha, huyu janeth1 unataka umzalishe mwenyewe???

Mtoto kama huyu anahitaji huduma ya babu. Vijana watamchakachua.

Ataula wa chuya utajuta kumzaa. Shauri zako!!

Kwani umesikia sina Mme emu kalale huko uongeze siku babu wewe...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…