Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

sina ndugu mwenye tabia za huyo jamaa....

eti sina ubavu, wewe piga teke bahati yako....

waweza kufafana na mtu tabia lakini akawa si nduguyo....

Pole wenzio wanafanana tabia nzuri wewe sasa.....bahati nishaipata kwa my sweet wangu we kawape wengine...
 
Mtoto wangu huyu babu hafai popote pale kukutana nae! Ata Huko pm hafaiiii!

Asa we ngosha, huyu janeth1 unataka umzalishe mwenyewe???

Mtoto kama huyu anahitaji huduma ya babu. Vijana watamchakachua.

Ataula wa chuya utajuta kumzaa. Shauri zako!!
 
Last edited by a moderator:
Asa we ngosha, huyu janeth1 unataka umzalishe mwenyewe???

Mtoto kama huyu anahitaji huduma ya babu. Vijana watamchakachua.

Ataula wa chuya utajuta kumzaa. Shauri zako!!

Kwani umesikia sina Mme emu kalale huko uongeze siku babu wewe...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom