hahahaa! besti mi nipo nipo sana! si unajua umri ukipanda lazima uzidi ku hustle? mwanaume kutoka jasho bwana, mwanamke chake kipodozi!!!
ntazidi kuwepo lakini....!
kwanini bana...
wakati kitu. ni unlocked?
Ahhhha na kweli mungu akufungulie kila lenye heri nawe
bora afike!afadhali umesema mwenyewe..
information is power..
miss neddy hebu njoo utoe msimamo wako hapa aisee...
asante sana!
usiniambie bbie, kwanini umepotezea mrs dago??
Sjui nilivolichagua nilikua nawaza nin sijalipenda tu nimelipenda hili hili la mamaafacebook
that means dago is ur man! right?
Yeah he is my man...lakin dago ni nickname ake tu ila kwangu naiona ngeni
yupo na humu jf?
Hayupo jf
Poa mamaaFB.. tutaonana tena sir God akipenda,,..
bye!!!
Leo siku ya Bwana u know
Poaaaa
Umejitahid kujibu maswali ya watu safi saana mama facebook
Poaaaa
Goodmorning!
miss neddy sidhani kama anaweza kuja hapa!
ataipotezea tu na hii,
mi nataka ww uweke wazi, what is happening?
nimekuja no editing iachwe tu hivyo hivyo