Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Usirud tena kwangu rudi kwa wengine ukajaribu bahat yako

Yaani nitafute hela kwa kutumia ushawishi wa hali ya juu, halafu na huku tena nianze kushawishi mkubwa mwenzangu..........

!? Ama kweli "wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika".
 
What's wrong babe. Unajua siyo vizuri kwa mtoto mzuri kama wewe kuwa peke yako. Halafu kumbuka uliumbwa kwa ajiri ya mtu na mtu huyo ndo mimi.

Oooh mashimba 1.... Is this realy u..??? Presha inapanda presha inashuka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom