Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Eti enh hata me naona ila maneno yako hayashawish kabisa

Aaaa, kumbe, subiri wanaojua kushawishi watakuja. Mi nilifikiri friendship ni zaidi ya poyoyo; kumbe siyo.....!? Ngoja nmtafute mtu flani anipe tuition jinsivya kulaghai mabinti halafu nitarudi.
 
Usirud tena kwangu rudi kwa wengine ukajaribu bahat yako
 
Back
Top Bottom